Kozi hii inashughulikia uhakiki wa riwaya na tamthilia ya kisasa ya Kiswahili . Aidha inafafanua historia na maendeleo ya riwaya na tamthila ya Kiswahili.