Kozi hii inachambua Mofolojia na Sintaksia ya lugha ya Kiswahili. Madhumuni ya kozi ni kueleza dhana muhimu za kimofolojia na kisintaksia zitakazomwezeshamwanafunzi kuchanganua vipashio anuwai vya lugha.